nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,801
Monday, November 12, 2012
Juzi Diamond akiwa na gari lake alipata ajali (ya kawaida) ambayo ilisababisha sehemu ya mbele kuharibika. Kwa mujibu wa meneja wake, Raqey Mohamed wa I-View Media ajali hiyo ilisababishwa na mwendesha pikipiki ambapo hata hivyo amesema hakuna aliyeumia. "There is nothing serious lakini,"