Jamaa atakuwa na tatizo la ngozi/chunusi. Tangu enzi hana hela
Halafu tatizo la ngozi inaonekana tiba yake sio uhakika. Maana washua kibao linawasumbua ambao unaamini hawajakosa fedha ya tiba.
Halafu linaibuka kampuni la lotion, linatafuta wadada wenye ngozi nyororo wanawatumia kufanya matangazo. Kana kwamba mng'aro wao ni wa lotion hiyo mpya.