Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi mahakamani

Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi mahakamani

Status
Not open for further replies.

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,377
Baada ya mvutano wa kisheria kati ya jeshi la polisi na mwendesha mashtaka wa serekali hatimaye Omar Mussa Makame(mgombea ubunge kwa tiketi ya CUF 2010 jimbo la Raha Leo)
Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Mushi amefikishwa mahakama kuu na kusomewa shitaka la kuua kwa makusudi

Swali:ni kwanini DPP anakataa asipandishwe kizimbani??????

FRIDAY, APRIL 05, 2013

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiongozwa na Askari polisi kuingia katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kusikiliza kesi inayomkabili.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mshitakiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) kulia akizungumza na mawakili wake Abdalla Juma kushoto na Rajab Abdalla muda mfupi baada ya kutajwa kwa kesi yake Mahakamani hapo.

Mawakili wanaomtetea Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri , Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) wakili Abdalla Juma (kulia) na Rajab Abdalla wakiwa mezani pao kabla ya kutajwa kwa kesi ya mteja wao katika mahakama Kuu Vuga mjini Zanzibar

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo.
Picha zote na Haroub Hussein.

FRIDAY, APRIL 05, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

Ni kwanini Anatabasamu hivyo? na alikuwa JELA? Kama nimeonewa kuwekwa JELA kweli Machozi yangekuwa yananibubujika; Au ni vingine? Scary!!!
 
Naona dpp na polisi wamegeuka mawakili wake wanamtetea
Dpp ni mmojawapo wa genge hilo la magaidi! Ana hofu ya kuumbuliwa mahakamani! Hapo inabidi afukuzwe kazi kwanza wateue mwingine! Tofauti na hapo hiyo kesi itakuwa usanii mtupu!
 
kwanini FBI wamchore yeye?? kati ya mamilioni ya watu wote tanganyika na zanzibar?? kwanini yeye??? halafu sasa sio yeye?? kuna nini hapa?
 
Si walisema DPP ameitupilia mbali hiyo kesi na ameagizwa mtuhumiwa aacgiwe atafutwe mwingine?

Kwamba DPP aliangalia uchubguzi wa polisi akatoa hukumu kwamba huyu bwana sie aliyeua.

By the way, mbona anachekelea saba na kuweka pose la kamera?
 
Siasa inatafuta ushahidi wa bandia polisi ndio wauwaji ili watimize matakwa ya kisiasa
 
Ni kwanini Anatabasamu hivyo? na alikuwa JELA? Kama nimeonewa kuwekwa JELA kweli Machozi yangekuwa yananibubujika; Au ni vingine? Scary!!!

He is not crazy, anachekelea fidia baada ya jamhuri kushindwa kuprove madai. Wewe unafikiri angekua muuaji angecheka?

Halafu angeachwa huru bila pingu, wakati Lwakatare anayetuhumiwa tu kupanga sio kutenda anapelekwa mahakamani akiwa na pingu?
 
Lkn huyu jamaa mbona anafanana sana na ile picha iliyochorwa? Huenda kuna mtu alichukua picha yake akaipeleka jamaa wakaichora tu.
 
Si walisema DPP ameitupilia mbali hiyo kesi na ameagizwa mtuhumiwa aacgiwe atafutwe mwingine?Kwamba DPP aliangalia uchubguzi wa polisi akatoa hukumu kwamba huyu bwana sie aliyeua.By the way, mbona anachekelea saba na kuweka pose la kamera?
Umeanza lini kuliamini Annuur?
 
Kama kweli yeye ndiye muuaji haki itendeke na ikiwezekana kesi hii irushwe laivu na television tuweze kumsikia na kumuona.
 
Ni kwanini Anatabasamu hivyo? na alikuwa JELA? Kama nimeonewa kuwekwa JELA kweli Machozi yangekuwa yananibubujika; Au ni vingine? Scary!!!

Mbona Rwakatare wenu alikuwa anatabasamu na kuonesha alama ya "manati" mahakamani hamsemi????
 
He is not crazy, anachekelea fidia baada ya jamhuri kushindwa kuprove madai. Wewe unafikiri angekua muuaji angecheka?

Halafu angeachwa huru bila pingu, wakati Lwakatare anayetuhumiwa tu kupanga sio kutenda anapelekwa mahakamani akiwa na pingu?

Wapi nimesema ni CRAZY? Issue ya LWAKATARE ni tofauti HUYO Unayemsema Lwakatare walipekuwa MAKAO YAKE hawakupata SILAHA sasa sijui UGAIDI wake UKOJE...

Wewe unawekwa Jela unatoka kwenda Mahakamani unatabasamu; na Unasema Jamhuri Imeshindwa kuprove... Nisengekuwa nachekea hizo CAMERA zao; Wamenichukulia UHURU wangu kwa siku hizo nilizokaa JELA? sijui kama anaruhusiwa KUISHITAKI JAMHURI...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom