Wewe MBAYA kweli... Kweli wanafanana haswa... LOL
Usimsifie bure mchoro hajauchora yeye............
Sasa Mahakamani POLISI walikuwa na USHAHIDI wowote?
Umeshasahau kipindi kile polisi walikuwa wakipaka vinyesi kwenye visima na mashule halafu wakawa wanawasingizia raia?
Hakuna aliyeamini mpaka siku defender ya polisi ilipokamatwa usiku wa manane na wanakijiji ndipo mambo yale yalipokoma.
Na hii ya huyu Padri Mushi Kamishna Mussa anaijua vizuri na ndio maana wakakorogana na DPP.
Baada ya wimbi la wazanzibar kutaka mabadiliko makubwa ya muungano lilokuwa likiongozwa na UAMSHO, kama kawaida
yake system ikaamua sasa kufanya character assassination kwa UAMSHO. Kilele chake ndio hicho sasa piga risasi askofu
halafu kamata wape jina baya kuwanyamazisha.
Ila sasa hii imewakamata pabaya kwa sababu hawawezi kumkamata aliyeshusika siri itafichuka!
Ndio maana Omar anacheeka, watu mtaani wanacheeka! Mwisho wa siku serikali lazima ilipe fidio. Full stop.
Kwa huyu umekuwa mpole na kutoa hoja za kushauri vipi unasukumwa na udini?!!!
DPP si mfuasi wa uamsho?!!!!
Yeah lakini angalia wanavyofanana
Lkn huyu jamaa mbona anafanana sana na ile picha iliyochorwa? Huenda kuna mtu alichukua picha yake akaipeleka jamaa wakaichora tu.
Kwani ulikuwa hujui huu uzi unamsukumo wa kidini???? Kila anayeanza kumtaja marehemu anaanza na cheo cha dini yake. Kwa mtazamo wa harakaharaka utaona ni kwa vile alikuwa kiongozi wa dini ndo maana watu wamekuwa na sympathy. Kuna watu wengi sana wanauawa lakini haijulikani kwa sababu si waumini ama hawajulikani. Padri Mushi alikuwa mtu maarufu kutokana na dini yake. Hata kama asingekuwa na dini bado anabaki kuwa ni Mtanzania na alikuwa na haki ya kuishi na si kuuawa! Udini upo lakini kwa hili ni utu na hasa ni Utanzania zaidi.
Ni kwanini Anatabasamu hivyo? na alikuwa JELA? Kama nimeonewa kuwekwa JELA kweli Machozi yangekuwa yananibubujika; Au ni vingine? Scary!!!
Siasa inatafuta ushahidi wa bandia polisi ndio wauwaji ili watimize matakwa ya kisiasa
sitamhukumu lakini hawa watu wa ''kabila hii'' ndivyo walivyo. Kuna mmoja kwenye ule mlipuko wa Bali walimtungia jina la ''smiling bomber'' kwa alivyokuwa anatabasamu mahakamani
Ni kwanini Anatabasamu hivyo? na alikuwa JELA? Kama nimeonewa kuwekwa JELA kweli Machozi yangekuwa yananibubujika; Au ni vingine? Scary!!!
hao bwana ndio itikadi kali.Kama sikosei huyo jamaa alihukumiwa kifo lakini alitoka mahakamani hivyohivyo anacheka.sitamhukumu lakini hawa watu wa ''kabila hii'' ndivyo walivyo. Kuna mmoja kwenye ule mlipuko wa Bali walimtungia jina la ''smiling bomber'' kwa alivyokuwa anatabasamu mahakamani
Kwa Lwakatare kwakuwa ni mkristo yeye UTU haupo!!!
hao bwana ndio itikadi kali.Kama sikosei huyo jamaa alihukumiwa kifo lakini alitoka mahakamani hivyohivyo anacheka.