sorryMe mdogo wangu alipelekwa sober mara5 kila akitoka anarudia ya mwisho alijiovadozi roho ikaacha mwili!very sad
Tatizo si ngada. Tatizo sembe...Chid anahitaji muda zaidi maana ngada inataka utayari wa mtumiaji kwanza kuamua kuacha hii midude,niwapongeze wanaomsaidia ila wawe na subira naona wanawahi kumtumia ki-biashara mapema sana kabla hajapotea kwenye masikio yetu ni mtazamo tu.
Kiwango cha chini ni miaka miwili napo inategemea na bidii na utayari wa mtu kuachana nayo.Si nliskia katoroka huko baada ya jamaa zake kuacha kwenda kumuona na kumpelekea mahitaji kama walivyokubaliana na kudai kuwa ametelekezwa...?
Kwani dozi ya madawa huchukua muda gani mpaka sumu kutoka mwilini kwa mtu kama Rashid...?
Apongeze ujinga.yule bado sana.kwishinei.At least ungepongeza kwa hatua ambayo kafikikia
Kwani ulikuwa haujui kama ngada inapoteza ata uwezo wa kufikiria?!akili imeshalala yule,ndio mwisho wake kisanii..labda angeendelea kupata dozi for six months.Asikudanganye mtu The Chid Benz ni msanii mkali sana.
Wenye kuona mbali huyu jamaa kweli akiacha unga akirudi katika ubora wake ni hatari sana kwa mashairi yake, flow yake ni full mzuka.
Love familiiia ILalaaa
Mwasitiiiiy.....Hakuna binadamu aliyemkamilifu tuzidi kumwombea na pia tusimnyime support.
Huwezi kuacha unga kizembe hivyo