Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Binamu uliadimika, kwema lakini?
East Africa au? Na anavyopenda kujiongeza yule, naona kule insta habar ya mujini ni kiba na ndomo mmh Kiba anatimua vumbi balaa ndomo ajipange
Mbona watanuna mtaa Wa pili
Akitoa video mbaya Aly k ataishia hivyo hivyooo, huu muda wake Daimond bana
Mwache apige pige picha tu Kiba keshamaliza kazi
Baada ya wiki kadhaa nyota inageka kwa kiba Domo muda wake umeisha
hii nchi ukitengeneza pesa inakuwa adui. Ukiwa maskini maneno kibao....
nyie kalieni chuki tu watu wanasonga mbele
Ila diva nae mtata uliona alicho post kwa wall yake kuhus malipo ya video kwa wasanii?
Yaan mtu akifanikiwa watu wanaeka chuki za wazi ....... ye kiba si atoke tu kwani kuna haja gani ya kumtisha diamond mashabiki ndo watajua nani ni nani
kazi kweli kweli ..R Kelly anamjua ...auto tune ya kuzaliwa (adam mchomvu)hii nchi ukitengeneza pesa inakuwa adui. Ukiwa maskini maneno kibao....
nyie kalieni chuki tu watu wanasonga mbele
we umakalia nini?????
makalio.
kiba mtoto wa kigomaKiba mtoto wa kariakoo ....mwanaDar es salaam..habari ya mujini
Mbona kama Davido