Picha: Muonekano mpya wa Lady jaydee

Picha: Muonekano mpya wa Lady jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila acheni utani bhana, jide ana mvuto, age imeenda lakini mtoto bado analipa
1bcdecc957c4444dc0c111fc78042421.jpg
 
Ngoja niwahi siti ila Mkuu huoni mitaa ya lemutuz pembeni kuongezea uzuri,ingekuwa live tungevumilia atoke kwenye hiyo mitaa tungepata ukweli wa huo uzuri.
 
Back
Top Bottom