Picha: Muonekano mpya wa Lady jaydee

Halafu Jide akiwa kwenye picha anaonekana mzuri na mwenye mwili mkubwa, lakini ukikutana naye live yuko kawaida sana.

Angepigwa watoto hata 2 ingependeza zaidi kumwita bi Chau.

Anyway, kapendeza na hongera yake
 
Aache mbwembwe, tushachoka na mionekano mipya, atuletee anko!
 
Nikajua amekuwa na Tako na Kiuno cha Nyuki kumbe kavaa tu Vazi jipya
 
Yule jamaa aliyekuwa anamkojolesha bado yupo nae kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…