Picha: Muonekano mpya wa RAY C

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dah!! this is the ray c we used to know, safi sana, umekua zaidi ya mcharo, nasikia unataka kurudi kwenye bongo fleva ila nina ushauri before hujarudi ungejisalimisha mwenyewe kituoni ukawataje wale wote waliokua wanakuuzia Unga maana inaonekana bado una connection nao, sitashangaa kesho nikisikia umerudia unga, kama kweli unachukia unga kwa moyo wako wote tunaomba ushirikiano wako uwataje mateja wenzio then ndo tutakupokea, kama huna namba za makonda n takutumia na ntajitolea kukusindkiza kituoni na IST yangu maana nasikia gari huna
 
Anavutia. Mungu amsimamie aache yale madude.
 
Duh!!! Hii balaa tutawaona wengi sana Duerte style ndo mpango mzima!
 

Keshamtaja Ruge
 
wakuu kuna Uzi humu nimeona jina la ruge hivi ni kweli anahitajika jumatatu polisi?
 
Huyu atabiriki akivurugwa atarudia tena...

Tatizo hawataki kukaa sober house...wanakaa kwa muda mfupi mno alafu wanajifanya wamepona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…