D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,991 Mar 16, 2025 #1 Kama sio kupotezewa mda kukaa vyuoni kwa zaidi ya miaka 15 kusomea kitu ambacho hakitakuja kumsaidia, huenda Sasa angashajua kuunda gari nzima mwenyewe.
Kama sio kupotezewa mda kukaa vyuoni kwa zaidi ya miaka 15 kusomea kitu ambacho hakitakuja kumsaidia, huenda Sasa angashajua kuunda gari nzima mwenyewe.
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Mar 16, 2025 #2 Shida wetu watanzani kila jambo linapowekwa mezani basi linapotezwa kwa kuanza kutafuta midhaha unaofanana na jambo hilo
Shida wetu watanzani kila jambo linapowekwa mezani basi linapotezwa kwa kuanza kutafuta midhaha unaofanana na jambo hilo
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 597 Reaction score 1,240 Mar 16, 2025 #3 Serikali itabidi ibadili mifumo wa elimu