Picha: Mwizi wa kuku akilazimishwa kumla na manyoya yake kuku aliyemuiba

Picha: Mwizi wa kuku akilazimishwa kumla na manyoya yake kuku aliyemuiba

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Duh

20230227_124455.jpg
 
Kwani hapo hakuna kituo cha police?,hii sio Sawa kujichukulia sheria mkononi, silaumu maana nchi Ina traffic officer's mara mbili kuliko police wa kawaida, na good news our special police unit FFU, wameshinda tuzo ya SWAT pale UAE,tumekua wa kwanza Africa, tukiishinda SA na Kenya!!
 
BInadamu keshaisha, wamebakia wanyama
 
huyo mwizi fala sana hapo akigeuka angeweza kumrushia huyo kuku usoni huyo fala nyuma yake na akampa mashuti ya kueleweka na kutokomea kusikojulikana..
haawa wezi wa vizazi vipya wapuuzi sana na huyo anamlisha manyoya ya kuku kashika jiti tu unaweza kumpora sekunde 10 nyingi
 
Hata baada ya kumlazimisha kumla huyo kuku, akimaliza wataanza kumpiga 😫🙌
Ndo maana ni hatari sana kwa uongozi kutozingatia utawala wa sheria kwani athari zake ni pamoja na kuwa na jamii inayojichukulia sheria mkononi
 
Ndo maana ni hatari sana kwa uongozi kutozingatia utawala wa sheria kwani athari zake ni pamoja na kuwa na jamii inayojichukulia sheria mkononi
Kabisa mkuu, Kama viongozi wanashindwa kupaza sauti juu ya utawala wa Sheria unadhani tutafika kweli?
 
Kabisa mkuu, Kama viongozi wanashindwa kupaza sauti juu ya utawala wa Sheria unadhani tutafika kweli?
Tatizo ninaloliona hapa ni 1. Wale wanaosimamia utawala wa sheria ni wazembe e.g. Huyo mwizi wa kuku akipelekwa Kituoni, kesho utamwona anatanua mtaani na kutishia wale waliompeleka hapo
2.Utaratibu wa kushughulikia mhalifu ili sheria ichukue mkondo wake na kuonekana kutendeka unakuwa na mlolongo mrefu na halafu kunakuwepo na harufu ya rushwa.....
 
Back
Top Bottom