Picha na matukio: Mazishi ya Kanumba yafunika ya Muna Obiekwe wa Nigeria

Status
Not open for further replies.

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Wiki mbili zimepita tangu afariki, alikuwa staa wa movie za Nigeria, Muna Obiekwe ambapo sababu ya kifo chake imetajwa kuwa ni tatizo la figo ambapo hakuhitaji kuchangiwa chochote ili akapatiwe matibabu.

Mipango yake ilikuwa afanye event ili kile atakachokipata akafanye matibabu. Mastaa mbalimbali, ndugu, jamaa na marafiki walikutana jana katika Jimbo la Anambra, Nigeria kufanya mazishi ya staa huyo jana February 3.





 
PoOr THinKinG. JINgaa sAna BaDalA ya kuPost HeAlthier PosTs unAposT mAshUdu haPa. KuFanaNishA mAzisHi.
 
Sidhani kams ni sahihi kulinganisha shughuli za mazishi. Kikubwa ni marehemj kupata maziko ya staha. R.I.P Muna.
 
Kuzikwa na umati ni jambo moja na kuiona pepo ni suala lingine.
 
Vipi huyo aliemzidi mwenzie kafufuka?duh serikali ihakikishe kila Mbongo anamaliza angalau kidato cha nne angalau labda akili zetu zitachangamka.
 
Mmekosa la kupost,bloggers wa bongo mnaaibisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…