Elections 2010 PICHA NA VIDEO: Kampeni za Slaa jimboni Kawe leo

DEAR GOD msaidie slaa aingie ikulu salama
 
Hapa kazi wanayo. tumeanza count down kuelekea ikulu baba doc!
 
Mungu awalinde wote wapenda amani na maendeleo. kwako yote yanawezekana. Amina.
 
Mungu akiwa upande wako nani atakaye kuwa juu yako. Baba jitahidi funga kampeni kwa amani ili tuweze kuingia wote ikulu kwa kishindo.
 
Kazi ndugu zangu ni kupiga kura, kuzilinda na kuhakikisha kuwa akina Makame na Kiravu hawabadili matokeo ya Slaa na kumpa Kikwete. Ni lazima kufanya hilo kwa nguvu zote bila woga wowote ule.
 
DEAR GOD msaidie slaa aingie ikulu salama

Hapa ni bila Malow,Fora mbasha,Tmk- basi ukweli tunauona. Jk wahi gheto chalinze ukale kuku wa kienyeji ukibisha usije kutulaumu
 
Kweli huyu Dr wa ukweli maana watu wanakuja wenyewe kwenye mikutano yake kumsikiliza na hiyo ni dalili tosha watu wameshachoka na CCM na ubabaishaji wao kazi iliyobaki ni sisi wananchi tukapige kura za ndio kwa Dr slaa
 
CCM kazi wanayo!
CHADEMA mwaka wa mavuno huu
 
CCM wanabakia na tatick zao za uvungu kwa uvungu.
kitanda kwa kitanda.
shuka kwa suka
na watashuka madarakani huku tukiipandisha CHADEMA madarakani
 
Inatisha! Jamani tujipange kuhamasisha wananchi wananchi wajipange kusimamia na kulinda kura
 
Kwa kweli inatia moyo kuona vijana ameacha starehe na biashara na wako hapo kumsikiliza dr Slaa.. naona mzee Marando naye in da house.. sijui atakuwa ametema cheche gani tena?

Nina uhakika Dr Slaa akianza safari yake ya kusini huko Mtwara na Lindi pia atapata watu wengi sana. Watanzania sasa wana mwamko!
 
Vurugu ikitokea , itakuwa ni CCM wa kulaumiwa kwani watakataa kutoka ikulu japo matokeo yanawatoa. hahahaaaaaaaa
 
Ninatokwa na machozi ya uchungu tulivyokosa rais anayeweza karipia. Karibu silaa
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!gooooooooooooooo
 
Good Job. Ni sera tu si kampeni za 'fiesta'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…