haya bwanaKasema akiwa na vazi la ufukweni, SI AKIWA UFUKWENI
Hapa hata yule bazazi kabaila KakaKiiza ataingia mitini wallah... khaaa!!
Ahahahaha pouwa banaahaya bwana
Vazi la ufukweni? au la kichakani?
-Nyerere-
Hiyo mbona sio mchaga mkuu?Maumbo ya kichaga bhanaa
Uwiiiiiieee
-Nyerere-
Hahaaa huyo mmeruMaumbo ya kichaga bhanaa
Wanawake weusi ni moja kati ya viumbe vilivyo hatarini kutoweka.Huyu Nakaaya si aliwahi kuwa mweusi naona maeshatoweka nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo we huangalii ufukwe unaangalia mambo mengine. Mbona mi nauona!ufukwe wa wapi mbona siuoni