white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
Duh lkn unaninanga pekee mbn maana naona mafundi bomba tupo wengi mfn#white girl#kasema anamuunganisha my babe wako kwa kibabu nahc itakua tayari ila haumnangi et mm nimekoma
Yaani Mengi na uzee wote huo alafu eti ohh i lobe my baby he is soo handsome ! Dah kweli pesa mwanaharamu
happy birthday k-lynn! dada mkubwa Fixed Point nashukuru kwa mualiko, ningepitwa ujue! hubby Asprin zeeka basi unifanyie mambo kama haya!
Ngoja nikuunganishe fasta maana nataka uwe bibi yangu alaaaaaaaa chezeyaa miee
Nakunanga peke yako kwa sababu fitina unazo peke yako...huyo white girl mwenyewe ndo ka-promote show; sasa nimnange ili asuse na kisha amsiribie babu yake!!?Duh lkn unaninanga pekee mbn maana naona mafundi bomba tupo wengi mfn#white girl#kasema anamuunganisha my babe wako kwa kibabu nahc itakua tayari ila haumnangi et mm nimekoma
baambiege hao basharobaro wa mjini; hela hawana badala yake wanaishia kuwatilia fitina tunaokula cheque za NSSF bila jasho wala michosho zaidi ya kutafuta wa kutafuna nao!Nishaunganisha zamani mie na Nasdaz ni babu yangu,muulize basi!!
Pesa si mwanaharamu bali ufukara ndo mwanaharamu coz' wakati fedha ina-janisha(makes u young), ufukara unazeesha! Sasa nani hapo mwanaharamu?Yaani Mengi na uzee wote huo alafu eti ohh i lobe my baby he is soo handsome ! Dah kweli pesa mwanaharamu
Nakunanga peke yako kwa sababu fitina unazo peke yako...huyo white girl mwenyewe ndo ka-promote show; sasa nimnange ili asuse na kisha amsiribie babu yake!!?
Duh inabidi niwe mpole tu maana uyo white girl nae kaninanga vby najuuta kuingilia mambo ya kifamilia ngoja nitafute kibibi chenye v8 pale mjengoni kivyangu mtajuta nikifanikiwa
Eeeee kumbe hata gari huna mpaka umsake mbibi mwenye V8,!!duuu basi kuwa mpole maana babu yangu ana magari hadi kuna kipindi Mr. fastjet alimzuia kuingiza magar mengine maana yalikuwa makali kuzidi yake,
Sie tupo hapa showroom tunamchagulia bibi gari ya kuendea supermarket
dada njoo kwa kijana mimi ambae na mihela ya magunia ya bange....walaaah mi nakuletea morgan heritage wakupigie kwenye birthday yako au unamtaka busy siginalMi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu
Mungu naibariki nizeeke sura tu, ila hiki kkupacho raha mke wa ujana wangu, kiendelee kuwa imara na imara zaidi....... Ila usitake kunivunja kama ulivotaka kunuvunja juzi, kama raha si twapata wote mke wangu? Khaaaa!!!!happy birthday k-lynn! dada mkubwa Fixed Point nashukuru kwa mualiko, ningepitwa ujue! hubby Asprin zeeka basi unifanyie mambo kama haya!
Babu mkuu niko na kiko changu hapa ujue.....Mi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu
Mi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu
Niunganishe tu.......mambo ya kujifanya ujana ulikula na nani hayapo bana..mambo ya kamata fursa
hahaha niwe tayari mara ngapi!!!!!!!
sawa baby.....uzee mwisho Chalinze mjini wote baby.......
mambo si ndo hayooooooooooo
Oooh God!!!!!