.Jaq kachagua kuishi maisha matamu kwa mda mfupi kuliko kuishi maisha magumu kwa mda mrefu
.
Haaa unaongea ukweli mpaka unauzi!hata kama anakula ARV,ana maisha bora,dhiki zishamsahau!Sisi hatunywi izo arv na dhiki kibao
Bora yeye ana ngwengwe anaish vizuri maisha bora,anakula vizuri na magonjwa nyemelezi anayatibu kwa tiba bora,kulikoo wewe huna ngwengwe umejaa stress,shida,kifua,mafua,homa vumbi madeni na karaha!na ebola ikija siku ya tatu tu unao...
Mi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu
Niunganishe tu.......mambo ya kujifanya ujana ulikula na nani hayapo bana..mambo ya kamata fursa
Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.
Unaongea as if unanijua/unanifaham. Acha balaa mtoto. Anyway hyo yote haijalishi....kuna kitu kinaitwa '' peace of mind '' watu wengi wenye pesa nyingi wana lack hyo kitu. So take note.
Njoo PM.