Picha: Nani anaweza kupatambua hapa? Moja ya maeneo muhimu Jijini Mwanza

Unayo matatizo makubwa kichwani mwako.
Umekwishasema mwenyewe ni Mwanza, tena CBD; sasa unataka watu watambue kitu gani?

Tena huelezi chochote unachotaka kueleza juu ya hilo eneo!
Hizi bangi zinakugeuza kuwa chizi moja kwa moja?
Mwanza Cbd ni kubwa . Wewe acha kuwa chenjeu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…