BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Bila shaka mko njema wakuu
Kwa hapa Dar wapi wanafungua mabelo yenye nguo kali grade one
Nahitaji za kupoint nikauze mtaani
Naimani hapa kuna wazoefu wa hizi kazi
Naombeni msaada wenu kwa hili wakuu View attachment 2609481
View attachment 2609483View attachment 2609482View attachment 2609484
Kwa hapa Dar wapi wanafungua mabelo yenye nguo kali grade one
Nahitaji za kupoint nikauze mtaani
Naimani hapa kuna wazoefu wa hizi kazi
Naombeni msaada wenu kwa hili wakuu View attachment 2609481