malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Jamani habari zenu, nauza kiwanja changu mwenyewe kipo mbezi ya Makabe, Hakina Dalali, Kama Unahitaji tunaonana, Nairobi tunauziana kwa kuandikishana Serikali za mtaa kwa usalama Wako na wangu Pia.
HALI YA KIWANJA.
1. Surveying imeshafanyika kwa maeneo hayo yoote linasubiriwa zoezi la Hati
2. Bei ni TZS. 5 MILLIONI,
3. umeme na maji vipo hapo Hapo,
4. Hakuna Dalali na Kama Kuna Dalali anaweza kuichukua Hii Kama kazi Maana Sina Dalali Bado.
Mawasiliano:
0625568600