SOLD: PICHA:NAUZA KIWANJA CHANGU MBEZI MAKABE

Status
Not open for further replies.

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Jamani habari zenu, nauza kiwanja changu mwenyewe kipo mbezi ya Makabe, Hakina Dalali, Kama Unahitaji tunaonana, Nairobi tunauziana kwa kuandikishana Serikali za mtaa kwa usalama Wako na wangu Pia.

HALI YA KIWANJA.

1. Surveying imeshafanyika kwa maeneo hayo yoote linasubiriwa zoezi la Hati
2. Bei ni TZS. 5 MILLIONI,
3. umeme na maji vipo hapo Hapo,
4. Hakuna Dalali na Kama Kuna Dalali anaweza kuichukua Hii Kama kazi Maana Sina Dalali Bado.


Mawasiliano:
0625568600
 
Mkuu mbona hujaweka ukubwa wa kiwanja.
 
mkuu tupe ukubwa wa kiwanja.
mkuu tupe ukubwa wa kiwanja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…