Simu yako ushaipeleka kwa fundi mara ngapi??Nauza Simu aina ya Tecno C8 pamoja na power bank original sababu Nina shida ya pesa kwa haraka kutokana na dharula iliyonikumba.
Vyote viko kwenye hali nzuri. Bei ni tshs 130,000/= vyote kwa ujumla.
Napatikana Dar.
Natafuta Simu nyingine ili niiipige picha Simu inayouzwa hivyo picha ya Simu inakuja punde.View attachment 1067540
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya simu???Nauza Simu aina ya Tecno C8 pamoja na power bank original sababu Nina shida ya pesa kwa haraka kutokana na dharula iliyonikumba.
Vyote viko kwenye hali nzuri. Bei ni tshs 130,000/= vyote kwa ujumla.
Napatikana Dar.
Natafuta Simu nyingine ili niiipige picha Simu inayouzwa hivyo picha ya Simu inakuja punde.View attachment 1067540
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijawahi kufunguliw na Fundi yeyote, bado inazo seal tag zake mkuu.Simu yako ushaipeleka kwa fundi mara ngapi??