Picha: Ney wa Mitego amuanika mtoto wa Skyner

kweli kabisa afu anafanana na ney sema keupe
ila huyo skaina mwehu mtoto miaka miwli akalelewe na mama mlezi tena upo hai safe and sound?!!

Huyo Siwema ashahama Mwanza?? Nae si ana mimba bado hajajifungua tu???
 
Na demu nae mwanzo alikuwa anaona aibu kutangaza kuwa kazaa na ney, ila ney alivyojenga nyumba ya mil 700 na kununua gari la kifahar la mil 300 demu ndo kajiongeza sasa na kujitangaza kuwa kazaa na ney, ila katoto kazur aiseeh

Milioni 700 na milioni 300
Itabidi nianze bongo fleva inalipa
 
Wanaishiwa kuchezwa mbele n nyuma, wanaolewa wengine, wanadhan umalaya unawatajirisha wakat hakuna ata msanii mmoja bongo aliyetajirika kwa umalaya, halaf hata hili hawalion

Nasikia wema,, kajala ni matajiri huko bila kusahau wolper mrs ndikumanya au tunadanganywa na fake life zao kwenye social net......
 
Wote wanaishi nyumba za kupanga hawana jipya
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

Bob Marley alikuwa mvuta bangi lakini alikuwa anatoka na watoto wakali kinoma, mpaka akampata mtoto wake wa mwisho Damian Marley kupitia kwa MissWorld wa mwaka1977!
 
Ushasema bob marley
 
Na demu nae mwanzo alikuwa anaona aibu kutangaza kuwa kazaa na ney, ila ney alivyojenga nyumba ya mil 700 na kununua gari la kifahar la mil 300 demu ndo kajiongeza sasa na kujitangaza kuwa kazaa na ney, ila katoto kazur aiseeh

Duh mkuu Warumi so Ney naye ni billionaire? Ngoja nige kazikwa haja nahisi nimebaki peke yangu millionaire.
 
Na demu nae mwanzo alikuwa anaona aibu kutangaza kuwa kazaa na ney, ila ney alivyojenga nyumba ya mil 700 na kununua gari la kifahar la mil 300 demu ndo kajiongeza sasa na kujitangaza kuwa kazaa na ney, ila katoto kazur aiseeh

Nyumba ya milioni 700?
 
We skaina hebu lea mwanao wewe mwenyewe mtoto mdogo sana huyo kha ! unataka Ubaya tu kwa siwema na yeye anawakwake anakuja , kitokacho tumboni cha moto Bibi wewe shauri yako !Lea mwanao :angry:
 
Mwenzio mjanja kashaona jumba lile kaanza kupunguza mizigo taratibu, kamtanguliza mtoto, baadae yeye anafuata, hapa ndo bongo daslamu
 
sasa na huyo aliyopo ndani ndio Timbwili linapoanzaga hapo pole yao
 
Hapo usimsahau Remmy Ongara. Wakati wa uhai wake alisema alishatembea na wanawake idadi hakumbuki na jua kao mzungu. Pia kabla ya kufa aliwaambia kina Karl wasikatae wadogo zao watakaoletwa baadaye ili mradi wafanye DNA maana wako wengi. Hao ndio maselebureti wetu.
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

wacha wivu wewe. Unajuwa kwa nini anaitwa neywamitego anatega nini ?
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

birds of the same feathers flock together....perhaps naye anakipuliza simchezoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…