wakati simba tukijiandaa kuwapa wachezaji wetu zawadi za magari,yanga wao wameamua kuwapoza wachezaji wao,kwa vinyago vya miti vinavyo chongwa pale mwenge,na bendela zenye rangi rangi kama zawadi..ama kweli..wajinga..ndio..wa..liwaooooooo..!!
Walipewa, ingawa sio Kiahaaaaa!
Unakumbuka yale magari kia ya mwaka ule mliompiga mwinyi na viti uwanja wa uhuru(taifa)?
Hivi ilikuaje?
haaaaa!
Unakumbuka yale magari kia ya mwaka ule mliompiga mwinyi na viti uwanja wa uhuru(taifa)?
Hivi ilikuaje?
Waliisha panga na ratiba kombe likitoka uwanja wa taifa litapita hapa kisha litaenda hapa na mwisho litapokelewa klabuni duh yule bolizozo akafanya yake
James Tungalaza(RIP) naye alifanya yake ilibidi tu aitwe 'Bolizozo'.Kipindi hicho bia tamu ilikuwa inaitwa Stella A . . . . .
Wakati simba tukijiandaa kuwapa wachezaji wetu zawadi za magari,yanga wao wameamua kuwapoza wachezaji wao,kwa vinyago vya miti vinavyo chongwa pale mwenge,na bendela zenye rangi rangi kama zawadi..ama kweli..wajinga..ndio..wa..liwaooooooo..!!
wamekosa hela za kulipa wachezaji mishahara,watapata za kununulia magari.