Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa?
Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo Movie wanamjua) mwaka 2021 aligombania viti maalum, huko CCM Iringa wakampiga chini.
This time uchaguzi umekaribia ameanza kutoa misaada huko Iringa Mafinga ili kujitengenezea nafasi nzuri zaidi kuelekea Uchaguzi.
Tutaona mengi kuelekea Uchaguzi Mkuu