Huyu demu nilikua nampendaga sana, kimapenzi yaan. Kama kashaingia kwenye siasa basi wacha ni withdraw tu intention yangu. Maana huko Kwa yeye kutoboa ni lazima agawe nainiliuWakuu,
Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa?
Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo Movie wanamjua) mwaka 2021 aligombania viti maalum, huko CCM Iringa wakampiga chini.
This time uchaguzi umekaribia ameanza kutoa misaada huko Iringa Mafinga ili kujitengenezea nafasi nzuri zaidi kuelekea Uchaguzi.
Tutaona mengi kuelekea Uchaguzi Mkuu
View attachment 3237229
Kwa haraka haraka tu nimeona ana mvutoWakuu,

Leo nakuunga mkono chawa, unajitoaga tu akili kumbe zimo...upunguze uchawa sasa.Acha wivu wako hapa wewe. Uongozi unatoka kwa Mungu. Kama Mungu kampangia kuwa kiongozi ni lazima itatimia tu na wewe kama mwanadamu huwezi kumzuia.
Mtu anachangia vitu vitakavyosaidia watu wengi. halafu wewe unaanza wivu wako hapa. Kweli kuna watu mnatembea kama binadamu lakini kiuhalisia Ninyi ni mashetani wakubwa.
Siku hizi hakuna uchaguzi, na wala kigezo sikuwa na mvuto au uwezo wa kisiasa, bali ni kwa kiwango unaonyesha uchawa wako. Uchaguzi ni kiinimacho tu.Wakuu,
Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa?
Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo Movie wanamjua) mwaka 2021 aligombania viti maalum, huko CCM Iringa wakampiga chini.
This time uchaguzi umekaribia ameanza kutoa misaada huko Iringa Mafinga ili kujitengenezea nafasi nzuri zaidi kuelekea Uchaguzi.
Tutaona mengi kuelekea Uchaguzi Mkuu
View attachment 3237229
Atafilisika kabla hata ya uteuzi.Wakuu,