Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Kwanza nikili kuwa Kila mtu ana Tunda/chakula chake anachokipenda au anatamani ale Kila siku.

Ni vyema Kila mtu ataje ikiwezekana kwa picha Aina ya chakula/Tunda hilo

Halafu tutakuambia Lina faida gani kwenye mwili wako.

Kariba.
Tunda hili ni staferi pamoja na Topetope.

Faida zake


Papai Lina faida nyingi Sana. Mimi huwa nalitumia kwenye issue za kulainisha Choo.


Mambo ni mengi utauliza kwenye comment utajibiwa....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…