Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo


Fanya hivi nunua kuku kienyeji hasa jogoo,Nunua viazi mviringo/ndizi,nunua majani ya mabogalmchicha,carrot,hoho,tia majani machache tu ya giligiliani, kitunguu maji,Tangawizi kidogo mbichi,Tafuta pilipili mbuzi inayonukia wengine huita mwendo kasi.

Fanya maandalizi yote Kisha Chemsha kwa pamoja.[kuku inatakiwa iwive kwanza ndo unaweka viongo vyako kwa pamoja]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…