Picha; Ninauza kitanda na dinner set Hizi hapa.

Kwani ukivitupa wenyewe wanakataza??!!..
Kuliko kuvitupa wakati kuna watu majumbani kwao hamna kabisa kiti wala hakijawah kuwepo si afadhali avitoe bure wakalie ajichumie zake thawabu.
Kutupa kitu kinachofaa wakati kuna watu wanauhitaji ni kukufuru.Wape masikini watumia
 
hunizid mie mpk wanangu wananishangaa si kwa kucheka huku looooo jf raha
 
Duh...hivyo hata finca wakija kuvikagua watakwambia hukopesheki.
 
Kuliko kuvitupa wakati kuna watu majumbani kwao hamna kabisa kiti wala hakijawah kuwepo si afadhali avitoe bure wakalie ajichumie zake thawabu.
Kutupa kitu kinachofaa wakati kuna watu wanauhitaji ni kukufuru.Wape masikini watumia
Akitupa maskini wataokota...lakini kwa kuuza hakutawasaidia maskini wala wasio maskini...zaidi kuvunja watu mbavu.
 
[emoji1] [emoji3] [emoji3]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Samahani kwa kufukua kaburi ila nmecheka mno
Mzigo ushauzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…