Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

Mbona huyu ni mchezaji mzuri sana..tatizo sisi washabiki wa Simba sc ni wepesi sana kumuhukumu mchezaji..anapaswa aminiwe tu ila mchezaji mzuri sana ..fikiri wale wachezaji tunaowaponda wenzetu ndio wanawachukua tena kwa mwembwe..washabiki wasimba wangi ni much know na wajuaji sana
 
GENTAMYCINE nikisema Kitu jua kwa 100% nipo sawa sawa. Onana hakuna Mchezaji na hana Hadhi ya Kuichezea Simba SC.
 
Back
Top Bottom