evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Yaani mwalimu aamue kujenga nyumba ya kuishi kijijini huko alipopangiwa kufanya kazi muda wowote anaweza kuhamishwa.Tukosoe kwa hoja si kishabiki
Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake
Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho
Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Pia ana fursa ya mikopo
Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Sasa shughuli za hiyo posho si zitashindwa kufanyika?Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Duuuu, huyo mwamba akipanda hapo si atakuwa kama mjusi kwenye gogo?
Tukosoe kwa hoja si kishabiki
Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake
Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho
Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Pia ana fursa ya mikopo
Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Yuko wapi sasa uyo mwenye nyumba .. haya matongo pori kawalishe wanao wewe kiazi.View attachment 3374869View attachment 3374870
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anae Tudai..
Duuu aisee hata akijibana anaweza jenga shuleTukosoe kwa hoja si kishabiki
Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake
Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho
Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Pia ana fursa ya mikopo
Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Tanzania yenye uchumi mkubwa kuliko USA na hata Uingereza haiwezi kuwa na nyumba za kuishi mtanzania za aina hiyo.
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
It's a Royal British Cottage.
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
Ni hoja nzuri, lakini atajengaje wakati pengine huko sio kwake?.....kwa hiyo atumie mshahara wake ili kupandezesha kazini kwake?Tukosoe kwa hoja si kishabiki
Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake
Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho
Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Pia ana fursa ya mikopo
Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
😅😅😅Duuu aisee hata akijibana anaweza jenga shule