Picha: Nyumba kali ya Mwl Mkuu Itilima; ''Mama hatumdai''

In meanwhile Waziri ambaye ana mshahara mkubwa na posho zaidi ya 250k anapewa gari nyumba na incentives zingine?

Ila mwalimu ambaye posho yake ni 250k ndio ajibane ajenge huko porini?

Umetukumbusha tukosoe kwa hoja….
 

Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.

Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
Kamjengee wewe, we ngedere endelea kuokoteza vipicha vyako havitamrudisha Rais nyuma. Hiyo itakuwa nyumba ya babako. Majengo ya shule yako wapi hapo? We bi bwege flani tu
 
Kamjengee wewe, we ngedere endelea kuokoteza vipicha vyako havitamrudisha Rais nyuma. Hiyo itakuwa nyumba ya babako. Majengo ya shule yako wapi hapo? We bi bwege flani tu
Chawa unatoa milio ukiwa wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…