Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Mi huwa napenda kila msanii afanikiwe , ilitakiwa wasanii wengi wa bongo wawe wana nyumba zao, domo ni kujituma kwake tuu kunamfanya apate hivo vitu.

Inatakiwa pia wasanii wengine wajifunze pamoja na sheria zetu za sanaa kuwa mbovu, mtu uki hustle inalipa, sasa mtu ana pata hela anaishia kula ngada tuu, na madem yaani hapo unakuta ka hit wimbo mmoja tuu.
 
Jaman zari nikumbuke warumi na Mimi angalau nije kuuza sura south africa kwenye nyumba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hapo kalenga wanae waishi vizuri,,na hivi zari anazaa atazaa anunuliwe nyingine Marekani,,naona vyumba vingi maana watoto wengii
Nasubiri majibu kwa ivan nyumba ya wanae mpya
 
Aaah hapana chezeyaaa, akina hamisa wataambulia uvideo queen mamaeeeee, ndomo nimempenda bureee, team mavi wameumbukaje na Salome wao [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Sio wrote, mwanamke kama zari Ana haki ya kupata kwa ajili ya mtoto(tiffah) pamoja na anayekuja, hata kama hawajaoana bado watoto wana haki na Mali za baba yao upoo? Na mama atawasimamia watoto wake mpaka wafikishe umri wa miaka 18 ndo watoto wanakabidhiwa Mali zao, hapana chezeya zari the bosslady
 
Kwa hiyo diamond anamaanisha kuwa ivan hana nyumba na pale ile nyumba zari alikua kapanga tu kumbe hehehe katupa siri tulikua hatuijui,,,yaan ivana na mapesa yote yale hana nyumba kweli kua na nyumba ni kipaji[emoji23]mi nasubiri mapigo ya ivana nyumba atakayodondosha np (natabiri tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…