Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

hivi team hereni list ya waliyompitia iwekwe hapa
 
Reactions: ovi
huyu jamaa kapata bahati ya mtende kumpata zari na kutulia.....
 
Ile ya Wema Sepetu mliyo tuwekea hapa tena mkitubeza sana sisi wanaume bado anayo?

DAR anayo nyumba inayo fanana na hii huyu Diamond?
 
Ivan alikua na bado kapanga south na toka michongo yake igundulike umeshaisikia Tena rich gang ikitamba? Sasa Salome katajwa team mavi mmekodoa kodo
 
Maigizo ya wasanii wetu
Maigizo kama ya ccm [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] endelea kusugua gaga wenzio wanapaa [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] NA siku hizi baba jesca anawatumbua heeee wenzako lumumba pale uhuru Media wamemwagwa ... Bado nyie wa buku saba hata jero hamtapata
 
Ivan alikua na bado kapanga south na toka michongo yake igundulike umeshaisikia Tena rich gang ikitamba? Sasa Salome katajwa team mavi mmekodoa kodo
Ehee.! hebu nihabarishe ndugu Ivana anafanya michongo Gani mana wengine hatumfatiliagi sana yule jamaa
 
Ivan alikua na bado kapanga south na toka michongo yake igundulike umeshaisikia Tena rich gang ikitamba? Sasa Salome katajwa team mavi mmekodoa kodo
Kumbe ilo dongo ni kwa hao washamba wa Uganda?
 
Usimsubirie Ivan, msubirie King Lawrence manake ndie anapelekwa mbele! Ila dah, sijui kwanini nimejisikia vibaya! Najisikia vibaya kv sitaki kuamini kwamba watoto wa Ivan na ile lifestyle waliyozoeshwa halafu wasiwe na nyumba. Nadhani hili dongo ni maalumu kwa King Lawrence... Hivi ushawahi kuona King Lawrence akionesha nyumba zaidi ya kila picha kuonesha akiwa Hotelini kama baby Tunda!
 
Halafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
 
Bei ya nyumba Afrika Kusini ni ndogo kuliko Tanzania. Nyumba nzuri ambazo zinauzwa ziko nyingi sana kuliko Tanzania
Conclusion yako sio sahihi hata kidogo manake umeacha kuzingatia vigezo vingi! Kwa mfano, there's no way nyumba yenye sifa zile zile; iliyopo Masaki Dar es salaam itakuwa very expensive kuliko iliyopo Westcliff, Johannesburg; sio kweli!!
 
upumbavu tu alafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Mbona kama ume-panic jomba?! Kwanini unataka ioneshwe ya baba ake na sio ya mama ake?! Au kwanini wewe usioneshe anayoishi huyo babake?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…