warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Na nyie wasanii wa bongo movie , tumewachoka na sherehe zenu za kila siku za kutafuta Kiki za kijinga, hivi ni lin na nyie mtafanya sherehe kubwa kwa kujipongeza na mambo ya maana kama kujenga Nyumba au kufungua miradi mbali mbali y maana. Kazi kutafuta Kiki tu kila siku mxiee . Sasa akina Mama Tee na wenyewe wangekua na akili kama zenu kufanya maparty ya kiswahil hayana hata maana yeyote zaidi ya uasherati tu na kutafuta attention sidhan kama angekua anafanya maendeleo.
Ila nilitaka kushangaa tukinao anyamaze kabisa asitafute Kiki ya kuongelewa? , ila hongera sana Mama T , wengine wanapoteza mipesa kufanya Party za anasa na za Kipumbavu, mwenzao anafanya investment za maana, Kwel wasanii wa bongo movie aliyewaroga kafa. Ila tukinao nae hapendagi kupitwa[emoji16], na yeye anataka ku trend , bora lakin mwaego unatrend kwa mambo ya mafanikio sio ufala