Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo siyo Nyumbani kwa Joho kweli?
Yah!! Hiyo ya kukutana na Mwinyi niliiyona.. Sasa hii ya kuwa hadi na Ommy ndiyo sijaelewa..Ni kikao cha kibiashara juzi walikua hotel verde, ilikua ziara ya joho alikutana pia na Rais Mwinyi ndio wakaongea na wafanyabiashara.
Kumbe nae ommy ni chawaWatu na ma boss zao wakila bataView attachment 1723857
Mzee wa kujipekecha
Ova
".......A Madman see what he see"
-Ned Stark
GOT S1Ep1
Hiyo aliyovaa ni kiblauzi?Wenzie wote wamevaa mashati, yeye kavaa kibrauzi, hawa watu wa Kigoma bora tuwagawe kwa Burundi tu.
hivi unajua sisi watu wa pwani kwa nini tunapenda kufuga mzuzu na kuupaka hina?Watu na ma boss zao wakila bataView attachment 1723857
Kwa mziki gani au biashara gani anazomiliki????Amna msanii anaetengeneza pesa kama Dimpoz kwa sasa ni vile tu hapendi show off kama wengne