Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

Uyo mwenye kapelo nyeusi na miwani kama Hassan Joho wa Mombasa?
Kama ni yeye kweli baaaas kwisha.
 
Acheni wivu, Omary Nyembo ana Range matata huyu
 
Marketing manager wa GSM juzi kakabidhiwa ofisi matata,,Kampuni ya nguo S.Africa juzi nao walimpa dili ,Sony pia na michongo kibao sana pia anapika Album matata kwa sasa ndio maana yupo kimya na biashara nyngne anamigahawa 3 kenya na pia pesa anazo tangia kitambo miaka ya 2010 kuna kesi iliibuka msanii mwenzake anamuibia baadhi ya vifaa vya gari Ommy ktk wasanii wanaopiga pesa kwasasa top 5 utamkuta
 
Dah jamaa anapiga picha na maboss huku Mimi kutwa kucha nazunguka na kapu langu la samaki dah
 
Ndo mnavojidanganya hivyoooh huko vijiweni? Msingi kiuno duniani hapa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…