Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hebu tufungukie basi wengine tupo hanangwaSimkandii Bro..
Naandika ninachokijua.. Ommy ni moja ya Msanii anayefanya vizuri. Ila..... Ila.....
Hiyo Issue ya Range mbona inajulikana.
Basi mnachuki/husda binafsi yaani mtu ukiwa hendsam aafu unakubalika/Ukatoboa kuna mawili aidha uambiwe bwabwa au Mpiga dili kweli "Maneno ya watu sumu" izi mambo uwa aziishi mlianza kwa B12 mara Majzo mara Dimpoz mara uyu mara yule kuna ambao wanafanya kama Juma***ata ukiambiwa ukatai ila awa wengne ni wivu tu MI5 TENA OMARY JUMA NYEMBONdo mnavojidanganya hivyoooh huko vijiweni? Msingi kiuno duniani hapa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuachane nayo Kaka..Hebu tufungukie basi wengine tupo hanangwa
Amepataje hiyo gari?
Ulishamgonga?Uyo anatoa tako bongo nyoso
NormaWatu na ma boss zao wakila bataView attachment 1723857
Kuna dada mmoja anaishi mombasa aliniambia kuwa watu wa mombasa wanamfaham huyo hojo kwa kufumua marinda akaniambia kuwa kibakuli na huyo pichani wote washafumuliwa mitaro, hata mmowapo akaozeshwa mke ambaye hojo alianza fumua toka utotoni na kimesoma na kukulia kwa hojo.Simkandii Bro..
Naandika ninachokijua.. Ommy ni moja ya Msanii anayefanya vizuri. Ila..... Ila.....
Hiyo Issue ya Range mbona inajulikana.
Toa nawewe kama unaumiaUyo anatoa tako bongo nyoso
Hyo range card hana, aliyempa range ndo aliyegharamia matibabu yake.Hebu tufungukie basi wengine tupo hanangwa
Amepataje hiyo gari?
Hyo range card hana, aliyempa range ndo aliyegharamia matibabu yake.Hebu tufungukie basi wengine tupo hanangwa
Amepataje hiyo gari?
Halafu Joho sijui ana nini..Hyo range card hana, aliyempa range ndo aliyegharamia matibabu yake.
Suna ya mtume sheikhhivi unajua sisi watu wa pwani kwa nini tunapenda kufuga mzuzu na kuupaka hina?
WOte Wazungu kasoro DIMPOZ.Watu na ma boss zao wakila bataView attachment 1723857
Ila Joho 001 mtu peace sana ,amemsaidia sana Dimpoz katika matibababu.Hapo pana joho, pana toufique mtoto wa almarouhoum turky, ommy mwenyewe aaah tusiendelee
Ohoooo,ile ya pink?Range yenyewe alinyanganywa Huddah akapewa yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenifanya nikamsaminishe huyo Betty huko insta ni pisi kali kiasi chake.Halafu Joho sijui ana nini..
Akimpa Mwanamke gari Mapenzi yakiisha lazima anyanganywe..
Betty Kyallo naye alinyanganywa gari Mombasa Road Mchana kweupe.. Hadi leo Betty hataki kusikia habari za Joho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Joho sijui ana nini..
Akimpa Mwanamke gari Mapenzi yakiisha lazima anyanganywe..
Betty Kyallo naye alinyanganywa gari Mombasa Road Mchana kweupe.. Hadi leo Betty hataki kusikia habari za Joho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza mbali sana mkuuHuyu jamaa simuelewi kabisa, Mbona mabosi wake karibu wote wana asili ya pwani?![emoji848]
Natamani Ommy aje kupitia huku JfYah!! Hiyo ya kukutana na Mwinyi niliiyona.. Sasa hii ya kuwa hadi na Ommy ndiyo sijaelewa..
Maana nasikia Ommy akienda Mombasa analala kwa Joho[emoji2]