Picha;p,diddy na cassie mapenzi yao yazidi kuwa ya nguvu

Picha;p,diddy na cassie mapenzi yao yazidi kuwa ya nguvu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]
pdd+2.jpg
Katika mahusiano yaliyodumu kwenye maisha ya Pdd, wanasema yalikuwa ya Jennifer Lopez na Huyu wa sasa Msanii Cassie. Picha Hizi ni za
party moja waliokuwa pamoja Pdd Na Cassie na zinaonyesha jinsi walivyo karibu mastaa hawa.
Cassie amekuwa na Puff Daddy kwa muda mrefu sana, fahamu kuwa Cassie alikuwa model kwenye kampuni ya Ryan Leslie.

pdd.jpg
pdd+3.jpg
 
Na mpaka kufikia hii leo tunavyoongea.

Wawili hawa hawako pamoja tena
 
Kutoka tu
Diddy akawa single father

Lazima anatamani kumrudia
 
Back
Top Bottom