Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
View attachment 3407078
Eeee hapo patamu
Tuvute subiraEeee hapo patamu
Huyu Mama ni kweli alijipima akaona hatoshi akatangaza kutoendelea, lakini Wazee wa fursa akiwemo yule yule boss wake wakamng'ata sikio kwamba Usiwe fala wewe, huu ndio wakati wa kuhomola, akapewa mchongo wa kuhomala Bandari, ikatiki, Mengine yote ya Tenda na vyeo mnayajuaPolepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
View attachment 3407078
kipo. utakiona soonEmbu tumpotezee huyo pole pole maana hkn anachosaidia nchi ,wote ndio wale wale tu ...
Kwa sasa Polepole ni malaika ndani ya CHADEMA.
Na iwe km n kweli mkuu ,isije kuwa n drama za CCM tu ,kesho kutwa unamwona polepole huyo akipewa V8 mpya na madaraka mengine akaka kmyakipo. utakiona soon
Tarehe 17 tujiandae na kukosekana kwa internet ama kutokea tukio kubwa sana litakalo trend kuzima huu mkutano.
Itakuwa ijumaa? Tutasikiliza BBC jioniTarehe 17 tujiandae na kukosekana kwa internet ama kutokea tukio kubwa sana litakalo trend kuzima huu mkutano.
nope. Polepole alikuwa "hamwelewi" huyu maza from ze beginning. Alimstukia mapema sana kuwa tumepigwaNa iwe km n kweli mkuu ,isije kuwa n drama za CCM tu ,kesho kutwa unamwona polepole huyo akipewa V8 mpya na madaraka mengine akaka kmya
Hee makubwa!Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
View attachment 3407078
Atarusha akiwa wapi?!
Aliyasema s100 mwenyewe siku za kwanza alipokabidhiwaPolepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
View attachment 3407078
Pahala salama. Mbali na wahuniAtarusha akiwa wapi?!