Elections 2010 PICHA: Prof. LIPUMBA Tayari CCM?

ha!ha!ha!haa!ha! utani mwingine bwana!! Mkuu naona umeamua kuwafanya watu watabasamu kwa hii picha.
 
Ati si kichuguu, mlima Kilimanjaro!!!
 
Ni lini hii picha ilipigwa na wapi?

Sioni kama ina ukweli wowote ndani yake..........
 
Photo lab hizi zinawezakukugombanisha na wakwe.
 
Kapiga enzi ya chama kimoja hii picha
 
hahahahaha,duh haya bana ndo tekinolojia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…