Picha: Rais Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma

Picha: Rais Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma.

Vikao hivyo vinaongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 27 Oktoba, 2022, Chamwino, Dodoma.View attachment 2399879

IMG-20221027-WA0041.jpg
 
Ile kule nyuma kwa huyo mlinzi ipo juu ya tairi inayong'aa kama kioo ndo viete?
 
Back
Top Bottom