Picha: Rais Samia kwenye ibada ya kumuaga Jenista

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na waziri wa zamani aliyeongoza wizara mbalimbali, Jenista Mhagama, katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025.

Jenista alifariki dunia Desemba 11, 2025, jijini Dodoma. Baada ya kuagwa, mwili wake unatarajiwa kusafirishwa hadi katika kijiji cha Ruanda, wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Desemba 16, 2025.



​
 
 
Kwa kweli njia iliyobaki ni kuwakodi Al shababu waje tu walifutilie mbali hili liuaji. Linalazimisha kutawala pumbavu kabisa
 
Liuaji lipo linajifanya linasikitika.
 
Ila hawa jamaa hata shetani mwenyewe anashangaa....
 
Kuna kenge walisema Mh Rais kafanyeje?chuma hicho hapo
 
sura ya kuzimu kabisa, hapa safari inagomba tarehe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…