Acha afurahie tu mwenzangu mimi sitaki shida.Nataka kubembelezwa na mie.....Ha haa umeona wenzako wanavyo furahia maisha...
Zari, shilole, riyama, wema....hili collabo wanaweza kufungua kituo cha kulea vijana(marioo)
Mmh hyo avatar yako akiii hapana binamu
Kumbe moze nae ni totoo kwa aunty duhumemsahau wa moze iyobo
Wazee wanatuibia wasichana wetu, nasisi bora tuwaibe wamama....ila wamama wanamambo mazuri wanatufanya tunatulia na kufa nya kazi fresh eg daimond, nuh, na vjana wengne wengi wasiokuwa maarufu
Kwani jina la mama tifa halipo hapo?labda umuongeze na Mariana
Zari, shilole, riyama, wema....hili collabo wanaweza kufungua kituo cha kulea vijana(marioo)
Kumbe moze nae ni totoo kwa aunty duh
Simjui namjua bobby tu tehhivi Dj OmmyCrazy kwangu mie ni Serengeti boy ama vepeee?
Maana hata umri wake siujuu.