Picha: S2kizzy ajipaka rangi kwenye kucha

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Producer mkali na mwenye Hits za kutosha kwenye kiwanda cha BongoFleva "S2kizzy" amejipaka rangi kwenye kucha zake.

Angalia picha hapa,






Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Khaa aisee industry imejaa magasho sana kama mambo yenyewe ndo hayo
 
kusuka na kupaka rangi kucha, hakuna yenye afadhali!... Vyote halua halua!

Wavulana wa kileo kufanya vitu vya wadada imekuwa kawaida na inaonekana fasheni!

Atoboe na pua... Akitaka kutobolewa na tundu ya huko nyuma! Nipo aniite! Nachoronga hizo tundu Barrabara kabisa!
 
#MADUNGU YETU, MIKUND& YAO!

NIPENI LOCATION YA HUYU BINTI,
 
Hehehe watu mna maneno eti una choronga hizo tundu dah hahaha kwani mpo mgodini.
 

Bro ukimtamani mwanaume mwenzio na wewe ni kundi moja tu. Mimi napenda wanawake wananukia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…