PICHA: Sajuki shavu dodo, sasa Mungu mkubwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


dua za watanzania zimekubaliwa
 

Attachments

  • shavu dodo.JPG
    57.2 KB · Views: 14,109
Sifa zote njema ni za mwenyezimungu mola mlezi wa viumbe vyote, yeye tu ndio tunamuabudu na yeye tu tunamuomba msaada na alitakalo ni kun fayakun. inawezekana kwani asichokiuwa mungu binadamu hawezi kukiua kabisa. inshallah twakutakia kila la kheri uzidi kupata nafuu na urudi kwenye kazi zako. ila nakupa ushauri mmoja tu usiache kumshukuru Allah na kumsujudia kila wakati. na pongezi sana zimuendee mkewe wastara juma kwa kuwa na subra na mumewe na kumuuguza kwa dhati, mwenyezimungu awajaalie maskizano na upendo katika ndoa yao. Amin
 
Mungu ni mwema, tunashukuru kwa yote.
 
Kila wakati mungu ni mwema
 
Huyu ndo yule alikua anaomba msaada wa pesa za matibabu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…