PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

Hiyo ndio kazi inayofanywa na yale mabasi na kwa kuwa wananchi wengi hawana shughuli za maana za kufanya wako tayari kusombwa kama marobota ya pamba yanayopelekwa kwenye mastoo.
 
Hiyo ndio kazi inayofanywa na yale mabasi na kwa kuwa wananchi wengi hawana shughuli za maana za kufanya wako tayari kusombwa kama marobota ya pamba yanayopelekwa kwenye mastoo.
Zamani Nyanza na shirecu walisomba marobota ya pamba.
 
Wangemwachia Mhaini..kungenoga sana kule kwa Babu Rungwe kumepoa..hapa kwa Mpina wasiwasi tu
 
Mama anapendwa jamani, angalia umati umefurika
 
We bwege na hasidi umetumia ****** kuwaza.
 
Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
Kwa akili gani sasa hadi uelewe? Hivi unajua kila goti litapigwa mbele ya Muumba wa mbingu na nchi? Iko hivi, Mwenyezi Mungu anaweza akambariki mja wake aliyetoa sadaka ya Tsh. 1000 kuliko yule ambaye ametoa sadaka ya hata ya 10M? Kama una hata "D" 1 tu ya shule zenu za kata unaweza ukajiongeza. Punguani wa kufikiri kabisa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…