PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

Najisemea kila Siku
Shida ya Tanzania sio CCm ni Vijana wanao jiita Watanzania.
Sasa Mpuuzi kama huyu unategemea Awe miongoni wa Watu wakuisaidia nchi hii kweli!!

Tunasafari ndefu sana
Umeona eeh
Yaani ni changamoto
 
SGR na mabasi ya kijani yametimia wajibu wake kwa chama dola
 
Unless unanufaika na utawala huu utakuelewa vinginevyo ndugu wewe utakuwa taahira ndiyo yaani hauko sawa upstairs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…