BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
We ka picha zinazoeleweka basi
Malumalu : Nyumba nzima
Gypsum: Nyumba Nzima
Maji: Yapo
Umeme: Upo
Bei: 150,000 kwa Mwezi
Hali Ya Nyumba: Mpya
Mahali : Kigamboni Tungi (Km 1 toka Ferry/kwa usafiri ni Dakika saba umefika)
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Gari Linafika hadi Mlangoni
aliye siriaz anakaribishwa kuiona
Simu Namba: +255 718 295 182
________________________________________________
Bango
View attachment 418308 View attachment 418310
...hata nyumba nzima unapata Kisiju!Kama ni sebule na chumba master hiyo bei kubwa, hiyo bei ni ya vyumba viwili na sebule.
huku kimbiji elfu 80 unapta nyumba ya vyumba vitatu na sebure...hata nyumba nzima unapata Kisiju!
Mkuu me natafuta kigamboni ya.mwanzo au posta kama wajua ya bei poa chumba kimoja au viwiliKama ni sebule na chumba master hiyo bei kubwa, hiyo bei ni ya vyumba viwili na sebule.