PICHA: Siasa Ilivyoua Elimu Yetu Watanganyika

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
507
Reaction score
191
Wakati nasahihisha mtihani ya watoto ninaowafundisha wa kidato cha pili,nkakutana na mtihani wa kijana aliyeingizwa kidato cha kwanza akiwa hajui hata baba kwa kiingereza ni nn. mtoto huyo kuandika amejifunzia shule ya sekondari
Kweli viongozi mnatupeleka wapi na elimu yetu?
Mbona mnatupa walimu wakati mgumu sana wa kutekeleza majukumu yetu ya kufundisha na tukikumbuka tunachokipata baada ya kukabiliana na watoto hao hapo ndio tunachoka kbs..
MIAKA 10 IJAYO TAIFA LITAKUWA KTK ANGGUKO KUBWA SANA LA MAJAMBAZI WALIOISHIA KIDATO CHA NNE NA WASOMI WABOVU SANA (WATAKAOBAHATIKA KUFIKA F.IV)
 

Attachments

  • xul ~.jpg
    205.4 KB · Views: 172



Jamani msameheni Diamond, yeye kipaji chake ni kuimba na kukopi miziki ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…