aah unamaanisha likizo ya kutotenda dhambi. Asante kwa kunikumbushammmhh,,mfungo unakaribia mkuu ndo vunja jungu nn
Hata mimi nawaona sana wa maumbile hayo siku hizi huku ulaya. Tofauti na zamani siku hizi wameongezeka sijui ni mabadiliko ya niniEbwana wanaJF mzuka!
Wala sidanganyi udhaifu wangu tu hupo hapa. Kila nikipishana nao
mapigo ya moyo wangu dhaif yanaenda mbio kwa kas ya ajab. Siku nikiwa tajir Amatus cha mtoto. Eti namilik vitalu vya gesi halaf huyo kwenye picha hapo chini anakatiza kwenye anga zangu haki ya nani haponi namkabiz tu tena vyote.
Wanajamvi tuzid kuombeana bila kuchoka mola azid kutupa uvumiliv hamna namna!
Benny Bigbootylover Zamaulid Kaboom mrangi Moral H Raimundo mshana jr Jimena GENTAMYCINE bushland
View attachment 342168
View attachment 342167
UuuuuwiiiiiHapo ukimpata mzungu wa figa na rangi ya kisukuma ama kinyakyusa selfu contained unamalizia mambo yako yooote ndani kwa ndani!
Ebwana wanaJF mzuka!
Wala sidanganyi udhaifu wangu tu hupo hapa. Kila nikipishana nao
mapigo ya moyo wangu dhaif yanaenda mbio kwa kas ya ajab. Siku nikiwa tajir Amatus cha mtoto. Eti namilik vitalu vya gesi halaf huyo kwenye picha hapo chini anakatiza kwenye anga zangu haki ya nani haponi namkabiz tu tena vyote.
Wanajamvi tuzid kuombeana bila kuchoka mola azid kutupa uvumiliv hamna namna!
Benny Bigbootylover Zamaulid Kaboom mrangi Moral H Raimundo mshana jr Jimena GENTAMYCINE bushland
View attachment 342168
View attachment 342167
ππππππ
Wanaume wa Dar bhana....!Hapo ukimpata mzungu wa figa na rangi ya kisukuma ama kinyakyusa selfu contained unamalizia mambo yako yooote ndani kwa ndani!